Blueberry Super Nutrition
Viambato:
Blueberry Extract, Blueberry Powder, Dietary Fiber of Fruits and vegetables, Natto Polypeptide, Malic acid
Kazi Zake na Faida
- Imesheheni uwingi wa mlo kamili, huboresha kinga za mwili
- Huondoa radikali huru, hasa radikali huru katika ubongo na macho
- Huzilinda seli na DNA dhidi ya uharibifu
Yafaa Kwa:
Watu wa rika zote, na hasa
- Watu wenye haja ya lishe ya ziada na iliyo kamili
- Watu wenye pressure ya juu, wenye kisukari na wenye mafuta mengi mwilini
- Watu walio na msongo wa mawazo na wenye uchovu sugu
- Watu wenye kinga ndogo za mwili na walio na afya duni
Maelezo Muhimu:
Dietary Fiber: Nyuzinyuzi za matunda na mboga huboresha mahitaji ya lishe ya mfumo wa utumbo, husafisha utumbo na kuondoa kinyesi, huondoa sumu na kusaidia kupunguza unene na uzito wa mwili.
Natto Polypeptide:
Natto Polypeptide: Huongeza uzito wa mifupa, na kuzuia kuvunjika kwa mifupa. Huzuia kuziba kwa mishipa ya damu katika moyo na ubongo, huweka pressure ya mwili kwenye kiwango; na kuzuia kukua kwa seli za kansa.
Kiongeza Kinga Za Mwili: Super Nutrition ya Green World huamsha mfumo wa kinga za mwili kwa kuongeza uhai wa seli na kukarabati seli zilizoumia. Huweka sawa shughuli za kimetaboliki za seli, huboresha uwezo wa kujikarabati wa seli, huongeza kinga za mwili, husafisha damu, na kuondoa sumu. Matumizi ya gramu 20 za Super Nutrion kila siku hutoa mg 5 za blueberry extract na mg 5 za blueberrypowder, ambayo ni sawa na kutumia gramu 130 za blueberry kutoka shambani.
<<<<< MWANZO